fbpx
Categories
Uncategorized

English Swahili Bible

English Swahili.

Proverbs 1:5,7-9 [5]A wise man will hear, and will increase learning; and a man of understanding shall attain unto wise counsels: mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.

[7]The fear of the LORD is the beginning of knowledge: but fools despise wisdom and instruction. Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu. Maonyo dhidi ya Kushirikiana na Waovu

[8]My son, hear the instruction of thy father, and forsake not the law of thy mother: Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako,

[9]For they shall be an ornament of grace unto thy head, and chains about thy neck. Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako.